Airtel wamefuta amsha popo duh

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habar wadau!

Nataka nidownload movie hapa amsha popo wamefuta tunafanyaje
 
Bora Mimi niliunga kile cha kuongea Kwahiyo Nina mwezi Mzima wa kuongea.
 
Sisi wenye kadi za CCM bado kipo hawajatoa.
 
Tuvumiliane watarudisha
Uvumilivu kwisha! Hawa watu tukiwachekea kuna siku wataja fanya maamuzi ya ajabu mpaka mshangae.

Tupafanyaje wadau kila tobo wanaziba watu tunakesha ila mambp yaende qao wanaleta nongwa

Mm ushaur wangu tupaze kwenye page zao zote kuanzia facebook.twiter nk maana nikisema maandamano najua hamuwez
 

 
Voda pia wamechomoa freebasics...

Chanzo cha yote haya Kigogo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…