nunua modem ya zantel iko fast na cheap 1gb sh 15000
Mwanzo. Ilikuwa nazitumia sana, last two weeks imekuwa balaa, nikinunua leo matumizi yaleyale siku tatu kwisha habari yakeAcha kulala nunua 400 mb kwa 2500/= tu nenda uwanja wa sms andika intaneti tuma kwenda 15444 mambo yankuwa byeee unasurf the world bila shida
Wizi mtupu. Sijui TCRA wako wapi.hivi nahilo tangazo la airtel hapo juu nilakwelig'
yaani ukinunua moderm 30000 unapata free intnt kwa muda wa miezi 6?
Nilitaka nijue ili niwahi nikanunue kabla promotion haijaisha nijuzeni wajameni
Sahihi kabisa, nilikuwa natumia kwa zaidi ya wiki mbili zamani, juzi kati ikawa siku tatu nyingi, kwisha, nimehamia zantelHii kitu nilikuwa naitumia kwa wiki nzima lakini jana nimeweka imeisha leo na hapa niweka nyingine muda mchache uliopita isipomaliza siku tatu nahamia Zantel nimeskia wameshusha. Ujanja ni kuwa na Modem za kila mtandao ili hawa jamaa wasikubabaishe.
kifurushi cha 400mb ni kwaajili ya simu. wamekifanyia marekebisho na kimekuwa sloooow sana kama utatumia computer.
vodacom wao do useless kabisa kwao ukinunua kifurushi halafu ukakimaliza kabla ya mda kuisha huwezi nunua tena. utakumbana na sms ya aina hii
Tayari umeshajiunga na vodacom Internet.
Tafadhali unaweza kununua baada ya muda wa kujiunga kuisha.
sasa sms za namna hii ndizo zinazotufanya turudi tena airtel (400mb slow connection)