Airtel zamani Zain zamani kabisa Celtel mnatuangusha

Airtel zamani Zain zamani kabisa Celtel mnatuangusha

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Tangu mchana leo 4.3.21 mteja akituma meseji haziendi kuna shida gani, je mtatufidia vifurushi vyetu tulivyojiunga na muda wake wa ku expire unakaribia?
 
Halotel ndio kila siku meseji haziendi katika 10 zinaenda 3 au 4. Tunaishi nao hivo hivo tu kwakua internet bundle buku 5 napata GB 7 kwa week.
 
Halotel ndio kila siku meseji haziendi katika 10 zinaenda 3 au 4. Tunaishi nao hivo hivo tu kwakua internet bundle buku 5 napata GB 7 kwa week.
Au kuna jitu linazisoma hapo katikati!!!
 
Wewe ukitumia Halotel utakoma. Airtel iko faster kwenye SMS kuliko Tigo ila nisijue kwa Voda. Halotel wana bundle za bei nafuu za SMS kila mwanafunzi anayo, unatuma text mbili mbili au anakutumia mbili mbili
 
Back
Top Bottom