Tangu mchana leo 4.3.21 mteja akituma meseji haziendi kuna shida gani, je mtatufidia vifurushi vyetu tulivyojiunga na muda wake wa ku expire unakaribia?
Wewe ukitumia Halotel utakoma. Airtel iko faster kwenye SMS kuliko Tigo ila nisijue kwa Voda. Halotel wana bundle za bei nafuu za SMS kila mwanafunzi anayo, unatuma text mbili mbili au anakutumia mbili mbili