issa mweusi JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,477 Reaction score 1,138 Dec 19, 2016 #1 Hivi wanajamii Hawa airtel na HUDUMA yao ya timiza mkopo wanafaidika vipi mana watu hawaminiki siku hizi ....
Hivi wanajamii Hawa airtel na HUDUMA yao ya timiza mkopo wanafaidika vipi mana watu hawaminiki siku hizi ....
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Dec 19, 2016 #2 issa mweusi said: Hivi wanajamii Hawa airtel na HUDUMA yao ya timiza mkopo wanafaidika vipi mana watu hawaminiki siku hizi .... Click to expand... Wananufaika kupitia riba wanayoweka Mfano waweza kukopeshwa TSH 35,000, Na ukatakiwa urejeshe TSH 39,000 Hivyo hapo faida yao ni tsh 4,000
issa mweusi said: Hivi wanajamii Hawa airtel na HUDUMA yao ya timiza mkopo wanafaidika vipi mana watu hawaminiki siku hizi .... Click to expand... Wananufaika kupitia riba wanayoweka Mfano waweza kukopeshwa TSH 35,000, Na ukatakiwa urejeshe TSH 39,000 Hivyo hapo faida yao ni tsh 4,000