malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Nilichukua gari kwa huyo amani aisee ukweli ni mabovu japo bei zao ni rahisi sana ila analugha ya kistaharabu sana kifupi ni muungwanaKuna amani nae anauza utafikiri anazipata bure
Amani Nani na yupo instergram..VIP gari anagari imara nzimaKuna amani nae anauza utafikiri anazipata bure
Amani_magari na yupo i'stagram akiposti kutokea Mwanza........Amani Nani na yupo instergram..VIP gari anagari imara nzima
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Mmhh haya uyasemayo ni kweli? Yani kwenye mil20 apate hasara ya mil 8... Wewe uliwahi kununua kwake? Au umehadithiwaMnamjua IKUNGULYABASHASHI MOTORS NYIE? Yeye anaagiza gari Japan pamoja na kodi kwa ml 20 lakin analiuza kwa ml 12 ili mradi watu wapate na waendeshe magari.
Muislam sana jamaa
πΆπππππMnamjua IKUNGULYABASHASHI MOTORS NYIE? Yeye anaagiza gari Japan pamoja na kodi kwa ml 20 lakin analiuza kwa ml 12 ili mradi watu wapate na waendeshe magari.
Muislam sana jamaa
Lipia tangazo uyo dalali ni wewe kabsaMnamjua IKUNGULYABASHASHI MOTORS NYIE? Yeye anaagiza gari Japan pamoja na kodi kwa ml 20 lakin analiuza kwa ml 12 ili mradi watu wapate na waendeshe magari.
Muislam sana jamaa