Aise wakuu UKIMWI ni noma

Imekuchukuwa miaka mingapi kugundua hili jambo ambalo liko dhahiri na limekuwa likisemwa kwa miaka zaidi ya 30? Wewe ni aina ya wale watu ambao ni lazima waone madhara ndiyo wanakubali?
Inafahamika Dunia kwote me pia nilisha kubali ila tupo hapa kukumbushana.
 
Good Mkuu.
 
Ujumbe mzuri,kuna mtu itamsaidia leo avae kiatu,kuna mtu leo itamsaidia a cancel appointment,kuna mtu leo atavunja uhusiano n.k.hii ni nzuri for awareness...
Hakika Mkuu umakini unahitajika katika hili.
 
Mkuu picha zao ziko wapi, tuwekee basi tuwaone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…