Aise wakuu UKIMWI ni noma

wakuu tuwe makini Ukimwi/ngoma ipo tena imejituliza kimya Kwa warembo, mishangazi Kwa vijana hivyo tufanye Kwa akili Sana.
 
Aise ni noma Mkuu kwahiyo ukinywa dawa tu mzigo unasoma namba 8?
 
Mwanaume rijali unaogopaje Ukimwi? Vijana wa Dar mpimwe mkojo
 
Unaongeleaje wadada tuu wakati ulimpeleka rafiki yako mwanaume? Wanaume ma handsome hawakuwepo kwenye foleni?
Mada za kibaguzi hazitakiwi huku jf.
Polee Mkuu mbona nimezungumzia na vijana Kwa maana ya jinsia zote. Au ulitaka niandike Kwa namna unayotaka wewe. Hakuna ubaguzi Hapo ni kukumbushana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ