Aise wakuu UKIMWI ni noma

Unanyonya nyuchi ya mwanamke ili iweje? Ni upumbavu na wanaofanya hivo akili zao zina shida au hawajui madhara. Kama umewahi usirudie tena kama Mimi. Jaribu kunyonya halafu kamle denda uone kama atakubali. Ukimwi upo na unaongezeka kila siku na hautawahi kupungua
 
Huu ugonjwa ukiutazama kwa jicho la mfumo direct utajiona upo salama, ila ukiutazama kwa network kama jinsi ulivyo ndo utaona utishaji wake.

Mfano huyo mdada mwenye makalio unaweza dhani hakuhusu kumbe unaweza kuta ni mpenzi wa mume wa mtu ambaye mkewe ana mchepuko ambaye anatembea na binti anayetembea na X wa mpenzi wako ambaye huwa wanapasha viporo.
 
We mkuuu haijawahi kumwacha mtu salamaaa maombi tu national mizigo asilimia 50 n wanandoa uliza wanavisafirisha kwa ewengine kama yaminelamal mipirayake
 
Aisee🤔
 
Acha uoga mkuu ngoma sio issue siku hizi...watu wanaushi nayo kisela
 
Cha kushukuru tu ni kwamba, hao watu wakizingatia matumizi sahihi ya ARVs hata wengine ndiyo usalama wetu.

Matumizi sahihi ya ARVs hupunguza chance ya kuambukiza wengine.

Jilinde, linda wengine, acha ngono zembe! Japo hatujakamilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…