Aise wakuu UKIMWI ni noma

kasikilize ujumbe kwenye wimbo unaitwa kosa la marehemu umeimbwa na uswahilini matola wa mwaka 2002 au 2003 kama sijakosea
 
Elimu ni muhimu sana, hao wanaotumia dawa kwa muda mrefu viral load inapungua hivyo hawezi kuambukiza hata mkipiga kavu!!

So ogopa wale waathirika wasio tumia dawa kuliko hao warembo wanaotumia dawa.
 
kasikilize ujumbe kwenye wimbo unaitwa kosa la marehemu umeimbwa na uswahilini matola wa mwaka 2002 au 2003 kama sijakosea
kasikilize ujumbe kwenye wimbo unaitwa kosa la marehemu umeimbwa na uswahilini matola wa mwaka 2002 au 2003 kama sijakosea ile original version sikiliza mashairi hao dada uliowaona wanachukua dawa wameimbwa 2003 wewe umewaona 2024
 
Ujumbe mzuri,kuna mtu itamsaidia leo avae kiatu,kuna mtu leo itamsaidia a cancel appointment,kuna mtu leo atavunja uhusiano n.k.hii ni nzuri for awareness...
 
Vitu ambavyo ni ngumu kuviacha. PUNYETO,KUBETI,KONYAGI,MAKU TAMU,NDIZI NA NGURUWE.Hivi vitanipeleka Jehanam
😁 Mimi huwa na principle min -me anajua nakunywaga jioni konyagi ndogo moja inanitosha.

Sasa Jana nimemaliza kunywa jamaa mmoja akiwa na MSHIKAJI wake tukipiga story za hapa na PALEE naaga wakasema usiondokee..

Nikapiga ingine na ingine aisee AISEEEE hapa kichwa kina uma hangover kichwaa kuuma AISEEEE mpaka sina hamu tenaa nimemaliza supu ya kuku sina hamu Ila siachii ntaanza kuzingatia kipimo changu.
 
Jamani ukimwi upo..
Jamani ukimwi unaua sana
Jamani ukimwi upo ila tunaishi nao

Kama kijana mwenzangu afya yako ndio mtaji hvo jilinde sana japo katika magonjwa mengi ambayo yana angamiza vijana ukimwi haupo hata.

Unajua kwanini hi ni kutokana na dawa tulizoletewa... Angalia hii
 
Wazee wa chaputa wala hatuna presha, mlenda wetu vuguvugu tunakula tuu pisi kali 🤣🤣🤣🤣
Hiv uti gono wala hatuvijui hivyo vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…