Aise wakuu UKIMWI ni noma

Hamna lolote, niliacha kuogopa ukimwi 2018 baada ya jamaa yangu kupona huo ugonjwa, dawa aliyotumia ndiyo na mm natumia nikipita sehemu mbaya, ni zaidi ya mara tano. Na kwa taarifa yako kwasabu huu ugonjwa upo kimkakati mods watafuta hii comment.
 
Bila picha hii ni chai tu ya mchana
 
Kumbe dawa za UKIMWI hata zahanati zinatolewa?
 
Mwanangu nahisi wakati unaambiwa usiondoke ulijua kabisa ushushe ile mikono tena na ilivyokuja ukameza tena mate moyoni ukisema one for ze road in texas voice🤣🤣🤣
Mkuu,
Leo nimepumzika kichwa kina uma muda huu.

Monetary doctor kama upo jirani na Cheka tuonane.

Leo nimeamua ku fanya driving tour misele dar zou mpaka now nipo Cheka hapa baada ya saa ntaondoka
 
Hamna lolote, niliacha kuogopa ukimwi 2018 baada ya jamaa yangu kupona huo ugonjwa, dawa aliyotumia ndiyo na mm natumia nikipita sehemu mbaya, ni zaidi ya mara tano. Na kwa taarifa yako kwasabu huu ugonjwa upo kimkakati mods watafuta hii comment.
Mkuu mi naomba nijuze hiyo dawa hata kama ni PM. Hili dude linatisha kiukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…