Aise wakuu UKIMWI ni noma

Hamna lolote, niliacha kuogopa ukimwi 2018 baada ya jamaa yangu kupona huo ugonjwa, dawa aliyotumia ndiyo na mm natumia nikipita sehemu mbaya, ni zaidi ya mara tano. Na kwa taarifa yako kwasabu huu ugonjwa upo kimkakati mods watafuta hii comment.
Acha utapeli
 
Huku jukwaani kuna watu wanadai hakuna kitu kama ngoma ni project za Kimarekani kupiga watu pesa. Naamini una majibu mazuri kwao.
 
UKIMWI ni hatari sana,ila wakuu ogopa sana kifua kikuu,ogopa sana kifua kikuu,ogopa sana kifua kikuu,...tena kikimpata muhathirika kwa pamoja ana chance ndogo sana ya kuishi,,
 
Ishi kwa nidhamu kwa ajili ya familia yako na muwe wazi kushauriana kuhusu hili tatizo.
 
Dawa imeshagunduliwa Marekani, kwahiyo ni mwendo wa kula mbususu tuu
 
Wazee ukiona kabisa ume uza mechi nenda hospital kabla ya masaa 72 sema ukweli kuna dawa uta pewa.

Zingatia iwe ndani ya masaa 72 lakini una meza ck 30 kila ck kidonge kimoja,

Mm ni shahidi iliwahi nitokea kumbuka kuuza mechi sio ujinga ina weza kutokea bila kukusudia.
 
UKIMWI ni hatari sana,ila wakuu ogopa sana kifua kikuu,ogopa sana kifua kikuu,ogopa sana kifua kikuu,...tena kikimpata muhathirika kwa pamoja ana chance ndogo sana ya kuishi,,
Bora hata kifua kikuu vp homa ya ini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…