Aisee! Chatgpt ikabidi akubali kwamba hapo kaenda chaka!

Aisee! Chatgpt ikabidi akubali kwamba hapo kaenda chaka!

Bando la wiki

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2023
Posts
911
Reaction score
3,017
Hello!
Katika kutaka kupima uwezo wa hizi AI hasa hii Chatgpt hasa kwa maswali ya calculation baada ya kuona maswali ya maelezo wanapita nayo balaa.

Basi nikachukua swali la uchumi juu ya mambo ya Price discrimination maana hapo mbele hizi concept calculation zake huwa zinachanganya sana.
Screenshot_20250128-192325.jpg

Kama kawaida yake chatgpt ikalikirupukia swali hilo, likamletea majibu ambayo yeye mwenyewe akayashangaa, nakuomba alianze upya tena.
Screenshot_20250128-192037.jpg

Lakini baada ya kurudia kipingele hicho amepita nacho kama ilikuwa kwenye mtihani wa necta.
Screenshot_20250128-192157.jpg

Wito kwa walimu wenye masomo yanayohusiana na Hesabu tumutumie huyu bwana maana hadi ma integration ina shuka balaa.

Ila lazima kuwa na ufahamu wa swali hilo maana sometime chatgpt anaweza kukulisha matangopoli vilevile ukaenda kuabika darasani 😆😆
 
Kumbe mimi haya mambo hayanifai kabisa. Nimetoka patupu
 
Back
Top Bottom