Aisee! Chatgpt ikabidi akubali kwamba hapo kaenda chaka!

Bando la wiki

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2023
Posts
911
Reaction score
3,017
Hello!
Katika kutaka kupima uwezo wa hizi AI hasa hii Chatgpt hasa kwa maswali ya calculation baada ya kuona maswali ya maelezo wanapita nayo balaa.

Basi nikachukua swali la uchumi juu ya mambo ya Price discrimination maana hapo mbele hizi concept calculation zake huwa zinachanganya sana.

Kama kawaida yake chatgpt ikalikirupukia swali hilo, likamletea majibu ambayo yeye mwenyewe akayashangaa, nakuomba alianze upya tena.

Lakini baada ya kurudia kipingele hicho amepita nacho kama ilikuwa kwenye mtihani wa necta.

Wito kwa walimu wenye masomo yanayohusiana na Hesabu tumutumie huyu bwana maana hadi ma integration ina shuka balaa.

Ila lazima kuwa na ufahamu wa swali hilo maana sometime chatgpt anaweza kukulisha matangopoli vilevile ukaenda kuabika darasani πŸ˜†πŸ˜†
 
Safi sana πŸ‘Œ

Prompt engineering - muhimu kujifunza ili kupata majibu sahihi kama unatumia AI models shuleni au kazini.
 
Kumbe mimi haya mambo hayanifai kabisa. Nimetoka patupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…