Wajinga ni wale waliokua wanamwangalia,ni moja ya starehe waliokua wameifata.we unaenda machinjio alafu dam isikurukie,umewah ona wapi?hata siku moja mafuta hayachanganyikani na maji usitegemee uende kwenye matamasha ya kifuska kama hayo alafu ukakuta busara.