Aisee Diamond mbona sasa unaanza kunabong'oa?




Nawasiwasi na huyu Dogo pamoja na huyu demu wake, nahisi wanatangaza biashara mbadala sio bure!
 
ku mainatain umaarufu ni kazi hasa usipokuwa na akili!
 
au yupo sokoni! Anawaonyesha ma babaa
 
kalewa sifa.
WAPI mr misifa.
wapi nakaaay
wapi atutakuona tena milele
wapi GK
 
Pia ajafikia amaarufu wa saida kalori.sasa yuko wapi.
Wapo wasanini wengi wamevuma na sasa wako wapi
 
Bora hata Afande Sele hakugeuka nyuma wala kubong'oa...narudia swali lililoulizwa hapo juu...hii style ili iweje? anajaribu kutuambia nini?
labda ana maanisha unaweza kumpata kwa tigo!!ha ha ha,just for funny brother Riwa
 
Last edited by a moderator:
maumivu yakizidi muone daktari!halafu mnataka tuisahau sambulumaaa na tukunyema,i see mfanye kazi sana!
ha ha ha ha!miaka ya tukunyema imeshapita lkn!!wakati huo dunia ilikuwa dunia si hii ya leo!!!!
 
mmmh kweli yaweza kuwa viroba ila huenda ni zaidi ya viroba!!!


Atakuwa kachanganya na banghe pia lol.....haiwezekani mtu mzima na akili zake timamu akafanya ujinga kama huo!
 
Hii ni hatari sana lakini salama ...

Kweli Jf ni zaidi ya social netiweki...
 
nakiri wazi kuwa sikwenda fiesta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…