muuza ubuyu JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 3,539 Reaction score 3,551 Nov 15, 2012 #121 Askari Kanzu said: Aisee Diamond mbona sasa unaanza kubong'oa! Staili zingine za shoo huwaga zinatisha. Click to expand... Upumbavu kabisa, maadili gani hayo, baadaye uje utangaze kugombea ubunge? Mkiambiwa wasanii wa bongo shule yenu ndogo pamoja na upeo wenu wakufikiri ni mfinyu mnakataa! Haya endeleeni! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Askari Kanzu said: Aisee Diamond mbona sasa unaanza kubong'oa! Staili zingine za shoo huwaga zinatisha. Click to expand... Upumbavu kabisa, maadili gani hayo, baadaye uje utangaze kugombea ubunge? Mkiambiwa wasanii wa bongo shule yenu ndogo pamoja na upeo wenu wakufikiri ni mfinyu mnakataa! Haya endeleeni! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums