Aisee, Kumbe mama anaupiga mwingi kweli bwana!!!

Aisee, Kumbe mama anaupiga mwingi kweli bwana!!!

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
IMG-20220527-WA0011.jpg

Hapo sijauzungumzia ule mradi mkubwa wa gesi likong'o ambao nyie wote mnaujua tayari!
 
Mama Samia anagonga utosini kabisa, samaki ni uchumi mkubwa wa kutisha kwa nchi nyingi duniani kwa bahari tulionayo tupaswa watanzania tupate kitoweo hiki pendwa kwa bei ndogo kabisa tena kila pahala nchini. (kila mtu anapenda samaki).
 
Hili la kuwaleta nyati albino wakidhani ni nyati wazungu ili kuvutia watalii bado nalitafakari
 
Hili la kuwaleta nyati albino wakidhani ni nyati wazungu ili kuvutia watalii bado nalitafakari
Brother ndo unazidi kuonyesha ni namna gani mnachemka katika kumchukia kwenu!
 
Back
Top Bottom