Aisee, Kumbe mama anaupiga mwingi kweli bwana!!!

Mama Samia anagonga utosini kabisa, samaki ni uchumi mkubwa wa kutisha kwa nchi nyingi duniani kwa bahari tulionayo tupaswa watanzania tupate kitoweo hiki pendwa kwa bei ndogo kabisa tena kila pahala nchini. (kila mtu anapenda samaki).
 
Hili la kuwaleta nyati albino wakidhani ni nyati wazungu ili kuvutia watalii bado nalitafakari
 
Hili la kuwaleta nyati albino wakidhani ni nyati wazungu ili kuvutia watalii bado nalitafakari
Brother ndo unazidi kuonyesha ni namna gani mnachemka katika kumchukia kwenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…