Aisee kumbe ni sahihi kulipwa kwa dowans

ACTUS!binafsi nilidhai unakuwa i sahihi kumlipa kutokana na hoja zako hapa ni wazi kuwa wewew unamteteaDOWANS regardless of legallity of paymen! Vipiumelipwa nini?
 
Mnapojitahidi kupingana na sheria mie nakaa pembeni...ila walipeni!
 
acheni ukenge kama dowans ni feki kwa nini mlitumia umeme wao. hakuna jinsi lazima tulipe tu. ni nataka walihusika na mkataba watajwe tuwacameron hadharani ili iwe fundisho.
 

Jibuni swali la msingi ninyi magamba, je DOWANS ni ya nani? Details tell kwamba alipotafutwa kushtakiwa hakutaka utambulisho wake ueleweke!
 
Jibuni swali la msingi ninyi magamba, je DOWANS ni ya nani? Details tell kwamba alipotafutwa kushtakiwa hakutaka utambulisho wake ueleweke!

analipwa DOWANS as a company with legal entity.na aliyeshtakiwa ni DOWANS na mmiliki ni DOWANS na aliyeingia mkataba ni DOWANS mbona unakua MGUMU kuelewa.wakati wanafanya mkataba hakuja huyo "unayesema hakutaka utambulisho wake ueleweke"
kasome judgement ndo uje uelewe sio habari za hearsay.law and fact ndo zilizotumika kufikia maamuzi hayo.tatizo hilo swala lilikua politized sana but judge na arbitrator walikua viziwi ktk kutoa maamuzi
 
Tatizo la sisi Watanzania ni kuingiza siasa katika kila kitu bila kutafsiri tatizo.
Tatizo jingine ni kila mtu kutaka kuonekana mwana HARAKATI wakati uwezo wake wa kujua na kufikili ni mdogo
Ile ilikuwa hukumu iliyotolewa mahakamani. Sasa ruling ya mahakama inatenguliwa na mahakama ya juu kwa njia ya rufaa. Kinyume cha hapo ni siasa na uwanaharakati.
 
Unajua sisi Watanzania ni watu wa ajabu.Wakati DOWANS wanaipeleka TANESCO mahakamani Watanzania walikuwepo na hakuna aliyefuatilia court proceedings.
Kwa hili wanasheria wetu walikuwepo ,lakini hakuna mwanasheria hata mmoja aliyetoa angalizo kwa UMMA WA WATANZANIA kuhusiana na kesi waliyofungua Dowans na athari ambayo nchi itapata kama Dowans watashinda kesi.
Baada ya hukumu ya kesi ndipo mabingwa wa sheria na wazoefu wanajitokeza na kuishauri serikali isiilipe dowans na kawati huohuo wanaadivocate utawala wa sheria, kwa hilo huo utawala bora utatoka wapi wakati hukaki kuutambua mmoja wa mihili ya dola?
Uamuzi wa mahakama lazima uheshimike na utenguliwe wa mahakamu ya juu iliyobaki kufikiwa, vinginevyo tunafanya siasa kwenye sheria.
 

Sawa kabisa. Si hilo tu. Wote tuna uchungu wa pesa hizo, lakini kama tunataka kweli waliosababisha adhabu ya malipo haya ndio walipe, hilo litaamuliwa kisheria, na tayari ICC na mahakama kuu wamekwishasema kuwa mitaba yote miwili, wa Richmond na Dowans, ilikuwa halali. Adhabu haikutokana na kuingia mikataba (mizuri au mibovu) bali kukatisha mkataba halali uliokuwa na 'performance ya 100%'. Atalipa aliyekatisha na aliyeshinikiza kukatisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…