Aisee kuna warembo jamanii uwiii

Kuna kipindi ulibadili avatar kabla hujabadili id ndo nikainasa hiyo... Karibuni ndo umebadili id ukaacha avatar ileile...Hayo nimeyajua kutokana na kuperuzi majukwaa mbalimbali humu sio kwamba kuna watu nawafuatilia sababu mwingine atahisi hivyo.
Ooh okay nimeelewa
 
PICHA IKO WAPI?????.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni ugwadu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…