Aisee mapenzi ni noma

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Bwana ee kijana wa watu kwenye pita pita hapa na kule huu mtaa ninao kaa bwana vimbwanga vingi.

Niliwaambia kipindi kile mazingira ya geto yalivyo, zimejaa bitch zinawasha ni upupu, aisee nashukuru nilifanikiwa kuhama salama.

Sasa kuna sehemu naendaga kunywa bia moja ya kutafutia hamu ya kula, na kutuliza maradhi ya tumbo, na shangaa leo anaeniuzi bia ananiambia kaachwa na bwana yake kisa ety kaambiwa anatoka na mimi.

Moyoni nikawaza yani huyu shangazi ndio anataka kuninasa kishamba hivo mm na yeye wapi na wapi na najua ni uwongo hakuna cha kuachwa wala nn, huyo jamaa mwenyewe sijui na sikutaka hata kumjua.

Aiseee..

Haya majaribu sijui yataisha lini.

Wanaume tujifunze kukataa hadi tufike kwenye ndoa Salama πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜
 
Ww Si kidume Mzee, ungekubali tu! Shida iko wap hapo [emoji846]
 
Kwa nianze kusema namshukuru mama chamia kwa kutuletea jamiichoramu

Pili naunga mkono hoja kama wengine walivyosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…