clarence mitega jr
Member
- Aug 24, 2017
- 41
- 17
Sijui unawaza niniuzuri wa haya mambo bwana,mungu aliyawekea usawa kwenye kifo tu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mawazo ya kimasikini haya!!
Tafuta hela. Sio kila kitu kusingizia kifo, kwa hiyo hata kula hauli kisa unajua utakufa?
Utilize yo life scale bana!!!
Post sent using JamiiForums mobile app
sio mambo ya wagalatia hapo,jamaa ana pesa nje ya kanisa.haya ndio maisha tunayotakiwa tuyaishi,sio mambo ya kuitana wanyonge.eti tanzania ya wanyonge,ha ha haaIMENUNULIWA KWA PESA ZA WAGALATIA WASIO NA. AKILI
Kadunduliza ndio nae kanunua hiv karibuniKwani simba aliishia wapi na ndinga kama hii [emoji16][emoji16][emoji16]
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Duh!!!hiyo ndinga ya ukweli kuna kipindi yule kijana anaye jiita simba alijinadi kutaka kuvuta mchuma kama huo.
-Ndumilakuwili-
Pesa pesa pesa,watu wananunulia wake zao hizi ndinga.hatari sanaMtumishi wa Mungu anaitwa Prophet Bushiri ni wa Malawi ana kanisa South Africa. Prophet Bushiri ni Mwanzilishi wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering Church (ECG) na the Shepherd Bushiri Ministries International. Kanunuliwa gari na Mke wake aina ya Rolls Royce Ghost black barge model 2016. Hapa chini nmeweka screenshot na picha zinajieleza.
Allow me to take this opportunity to say a heartfelt thanks to my wife for the pre 30th July Anniversary gift.
This may look like a show off to others but for me it is a public appreciation as any normal husband would do.
The fact I am a Prophet does not substitute the fact that I, too, am a husband. That being said, I would also want to feel the same love and appreciation every normal man would want to feel.
Every love story has been recorded in the Bible with its own happy ending. Abraham and his wife Sarah had a lasting love built upon faith. Jacob and Rachel had a blissful union and guess what, just like my own Mary, the Bible says she was lovely to look upon!
As God continues to take me through the journey of the prophetic, I am grateful that he is also taking me through a journey of true love! I could not have asked for a better partner, friend or wife!
Having said that, I would like to say thank you to the world's best wife for the Rolls Royce Ghost black barge model 2016. This will motivate me as I serve Christ and not only me but many who you inspire as a wife of a prophet, seasoned business woman, C.E.O of Shepherd Bushiri Investments and above all, a believer of Christ.
ndio ashavuta mkuu last week aisee!Kwani simba aliishia wapi na ndinga kama hii [emoji16][emoji16][emoji16]
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
[emoji28][emoji28][emoji28] mapenzi bhana.Cc Smart911 cc Smart911 cc Smart911 cc Smart911
I love you hata iweje Smart911 wangu. Hata ungelala na wanawake dunia nzima nakuachaje kwa mfano??? raha zote hizo mautamu yote naaachaje labda?? Heheheee habari yako najua washaisikia koh koh
Nakupenda sana Smart911 wangu
Mtoa mada kuna kabila moja la wahaya wana sifa sijawahi ona.. Huyo ni kabila gani??
Ila hawa Mitume sijui Manabii Mungu tu atusaidie, Kuna dada juzi nimekutana nae ananiambia yy kuna wakati maisha yakienda ndivyo sivyo akapata deal la kwenda kwa Gwaji Boy wanapagwa wanakuwa kama wanatoa ushuhuda wakimaliza wanakula 80k anasema amefanya hivyo kwa miaka kadhaa na amepeleka wapigaji kama yy zaidi ya 10. Mungu tusaidie.Mtumishi wa Mungu anaitwa Prophet Bushiri ni wa Malawi ana kanisa South Africa. Prophet Bushiri ni Mwanzilishi wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering Church (ECG) na the Shepherd Bushiri Ministries International. Kanunuliwa gari na Mke wake aina ya Rolls Royce Ghost black barge model 2016. Hapa chini nmeweka screenshot na picha zinajieleza.
Allow me to take this opportunity to say a heartfelt thanks to my wife for the pre 30th July Anniversary gift.
This may look like a show off to others but for me it is a public appreciation as any normal husband would do.
The fact I am a Prophet does not substitute the fact that I, too, am a husband. That being said, I would also want to feel the same love and appreciation every normal man would want to feel.
Every love story has been recorded in the Bible with its own happy ending. Abraham and his wife Sarah had a lasting love built upon faith. Jacob and Rachel had a blissful union and guess what, just like my own Mary, the Bible says she was lovely to look upon!
As God continues to take me through the journey of the prophetic, I am grateful that he is also taking me through a journey of true love! I could not have asked for a better partner, friend or wife!
Having said that, I would like to say thank you to the world's best wife for the Rolls Royce Ghost black barge model 2016. This will motivate me as I serve Christ and not only me but many who you inspire as a wife of a prophet, seasoned business woman, C.E.O of Shepherd Bushiri Investments and above all, a believer of Christ.
Tayari mkuu.Duh!!!hiyo ndinga ya ukweli kuna kipindi yule kijana anaye jiita simba alijinadi kutaka kuvuta mchuma kama huo.
-Ndumilakuwili-
Hii ndio maana ya wakati ni mwalimu mzuri.Kwani simba aliishia wapi na ndinga kama hii [emoji16][emoji16][emoji16]
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
KatimizaDuh!!!hiyo ndinga ya ukweli kuna kipindi yule kijana anaye jiita simba alijinadi kutaka kuvuta mchuma kama huo.
-Ndumilakuwili-
Tayari kafanya kweliDuh!!!hiyo ndinga ya ukweli kuna kipindi yule kijana anaye jiita simba alijinadi kutaka kuvuta mchuma kama huo.
-Ndumilakuwili-
Aliishia hapa😁😁😁Kwani simba aliishia wapi na ndinga kama hii [emoji16][emoji16][emoji16]
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Haya maisha bana kilakitu huja kwa wakati wake post ya 2017 kuna watu wali kua wanauliza kuhusu ahadi ya diamond kununua Rolls Royce na amenunua kweli sasa endelea kushangaa maendeleo ya watu "muda ni Mali" wake up its 2021Kwani simba aliishia wapi na ndinga kama hii [emoji16][emoji16][emoji16]
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
mzee upo??? huyo bushiri inaonekana ana hela sanaDuh!!!hiyo ndinga ya ukweli kuna kipindi yule kijana anaye jiita simba alijinadi kutaka kuvuta mchuma kama huo.
-Ndumilakuwili-
Nipo Mkuu,Habari ninayo yaani hongera kwa kijana.mzee upo??? huyo bushiri inaonekana ana hela sana
Nyie ni mnastahili K tu kwa mana mkipendwa mnajiona sana mnaanza madharau .wadada wa kibongo muwe mnatuzawadia waume zenu/mabwana zenu vitu kama hivo.sio "K" tu peke yake.