Aisee Prophet Shepherd Bushiri, hii sifa sasa...

uzuri wa haya mambo bwana,mungu aliyawekea usawa kwenye kifo tu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli life is not fair and has never been fair at all
yaani anniversary tu zawadi ndinga Kali namna hiyo!!
Hapo jirani nao nina hakika kuna watu hawana uhakika wa matibabu...pengine zahanati haina dawa ama maji safi...badala ya kujivunia matumizi hasi ya sadaka za waumini, ni afadhali wangesaidia wasiojiweza..
 
anniversary yao ni tarehe 30 mwezi July. leo ndio kwanza tarehe 17, tayari wamezawadiana rolls-royce.
sipati picha siku yenyewe ifika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…