sostenes mbwelwa
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 289
- 139
Yaani mkuu. Sasaivi wapigaji wengitu..ila mbaya sana kutumia neno la mungu katika mazingira ambayo haya akisi imani thabitimasanja mkandamizaji na mke wake nao pia wanaelekea kwenye ubilionea...naona siku hizi amejikita sana kwenye "ujasiria-dini".
siku akija kuzawadiwa na mke wake dude kama hilo alilozawadiwa bushiri,tusije tukaulizana wamepata wapi pesa.
ujasiria-dini unalipa sana.
Hapo tu ndipo ninapochoka na hawa "Manabii". Possesion ya vitu vya kidunia kwanini wanaweka mbele?Mungu atuhurumie maana siku ya mwisho watu watalia sana kwa kupotosha ukweli.
Huyo anaejiita Simba hana uwezo huoDuh!!!hiyo ndinga ya ukweli kuna kipindi yule kijana anaye jiita simba alijinadi kutaka kuvuta mchuma kama huo.
-Ndumilakuwili-
Hapo jirani nao nina hakika kuna watu hawana uhakika wa matibabu...pengine zahanati haina dawa ama maji safi...badala ya kujivunia matumizi hasi ya sadaka za waumini, ni afadhali wangesaidia wasiojiweza..
Kaka ukiwa maskini sio laazima wote uwe maskini.kwako wewe hiyo ni hanasa lakini kwa hyo Prophet ni kitu cha kawaida cause yeye ni mfanyabiashara mkubwa anamilik viwanda mwezanko tena vya madini
siyo mchungaji shehe, ni NABIImke wa mchungaji anavaa suluari aisee inatisha.
Angalia jamaa angalia mke, angalia magari, kuna dini hapo kweli? Unabii au utapeli wa imani za watu?!
Mke wa mchungaji anavaa surualiMtumishi wa Mungu anaitwa Prophet Bushiri ni wa Malawi ana kanisa South Africa. Prophet Bushiri ni Mwanzilishi wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering Church (ECG) na the Shepherd Bushiri Ministries International. Kanunuliwa gari na Mke wake aina ya Rolls Royce Ghost black barge model 2016. Hapa chini nmeweka screenshot na picha zinajieleza.
Allow me to take this opportunity to say a heartfelt thanks to my wife for the pre 30th July Anniversary gift.
This may look like a show off to others but for me it is a public appreciation as any normal husband would do.
The fact I am a Prophet does not substitute the fact that I, too, am a husband. That being said, I would also want to feel the same love and appreciation every normal man would want to feel.
Every love story has been recorded in the Bible with its own happy ending. Abraham and his wife Sarah had a lasting love built upon faith. Jacob and Rachel had a blissful union and guess what, just like my own Mary, the Bible says she was lovely to look upon!
As God continues to take me through the journey of the prophetic, I am grateful that he is also taking me through a journey of true love! I could not have asked for a better partner, friend or wife!
Having said that, I would like to say thank you to the world's best wife for the Rolls Royce Ghost black barge model 2016. This will motivate me as I serve Christ and not only me but many who you inspire as a wife of a prophet, seasoned business woman, C.E.O of Shepherd Bushiri Investments and above all, a believer of Christ.
Huyo mke kavaa surualiwadada wa kibongo muwe mnatuzawadia waume zenu/mabwana zenu vitu kama hivo.sio "K" tu peke yake.
Mkuu you are misquoting me tafadhali!!Swala si umaskini,swala kinachoendelea nyuma ya utumishi wa Mungu.Basi asingekuwa anakusanya sadaka kama kigezo ni kuwa mfanya biashara mkubwa.Angekuwa anawagawia waumini wake pesa badala ya yeye kuchukua inform of sadaka.
Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
Uyo mke kavaa surualiNaona unaendelea kujicontradict,imeandikwa wapi kwenye bibilia mchungaji akiwa tajiri anatakiwa asikusanye sadaka ? nani kakuambia kwamba sadaka zinatumika tu kwa ajiri ya matumizi binafsi ya mchungaji ? je unaweza kutuleta kinachoendelea nyuma ya utumishi wa wa Prophet Bushiri ? ukiwa huna taarifa sahihi si vizuri kuongea kitu usichokijua
masanja mkandamizaji na mke wake nao pia wanaelekea kwenye ubilionea...naona siku hizi amejikita sana kwenye "ujasiria-dini".
siku akija kuzawadiwa na mke wake dude kama hilo alilozawadiwa bushiri,tusije tukaulizana wamepata wapi pesa.
ujasiria-dini unalipa sana.
Uyo mke kavaa suruali
mkuu hela yao ni ya chumvi na mchuzi mixwadada wa kibongo muwe mnatuzawadia waume zenu/mabwana zenu vitu kama hivo.sio "K" tu peke yake.