Aisee R.KELLY ni Noma sana.

Aisee R.KELLY ni Noma sana.

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,095
Reaction score
22,731
Jana nilipata muda nikiwa nimepumzika nikacheki chapter 22 za ile nyimbo yenye series za chapter inayoitwa HIDDING IN CLOSET. Aisee ule ubunifu sijawahi kuona, yaani ni uimbaji kwa njia ya majibizano( dialogue).

Sasa kinachofanya hiyo kazi kuwa tamu zaidi ni vibwagizo alivyoweka R.kelly katika hiyo simulizi. Kwa wale ambao hamjawahi kuiona ingia tu Youtube uicheki.....just type Trapped in the closet itakuja.......ni video fupi za dakika Mbili hadi tatu ila zipo nyingi na ni story ya muendelezo zipo 22.

SONY Xperia Z5 Premium
 
Mimi my all time favourite song kutoka kwa Rkelly toka nausikia mara ya kwanza nikiwa darasa la nne early 2000 ni turn back the hands of time.
Yani haujawahi shuka chart kwangu na kwa hilo namkubari sana jamaa
 
Bruh.... Ndo unaziona leo..!?? Au unataka tu tuflash back..

Maana since 2005
Niliitazama kipindi kile ndio imetoka chapter one tu.....na audio yake nilikuwa nayo nadhani ilikuwa ni 2003 kama sio 2004......

Nilikuwa naisikiliza tu ila nikaja ziona full chapters youtube nikasema nitasifuatilia nizicheki zote ndio jana nikazicheki zote.

They are nice to watch..
 
Ukipata kifurushi cha Mb 500 unaweza cheki yote youtube

SONY Xperia Z5 Premium
R.Kelly is the best on turning dialogue to a song. Fuatilia nyingine inaitwa real talk though alifanya video for fans love ila kwikwi mzee
 
Jana nilipata muda nikiwa nimepumzika nikacheki chapter 22 za ile nyimbo yenye series za chapter inayoitwa HIDDING IN CLOSET. Aisee ule ubunifu sijawahi kuona, yaani ni uimbaji kwa njia ya majibizano( dialogue).

Sasa kinachofanya hiyo kazi kuwa tamu zaidi ni vibwagizo alivyoweka R.kelly katika hiyo simulizi. Kwa wale ambao hamjawahi kuiona ingia tu Youtube uicheki.....just type Trapped in the closet itakuja.......ni video fupi za dakika Mbili hadi tatu ila zipo nyingi na ni story ya muendelezo zipo 22.

SONY Xperia Z5 Premium
Idea nzuri, tatizo mule ndani kuna ushoga.
 
= hiding

Nyimbo ya mashoga.

Wewe shoga?
 
Back
Top Bottom