Aisee SICARIO ni bonge moja la movie

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Lawyer wa kimexico ambae familia yake iliuliwa na boss wa kundi la madawa ya kulevya na uharifu anaamua kuungana na task force moja ya marekani huku yeye akiwasaidia intel za kuangusha drug cartels na yeye wakimsaidia kumfikia huyo boss mmoja wa cartel ambae aliteketeza familia yake.

kuna part 1 na 2 hadi sasa. Kama wewe ni mpenzi wa movie za intel, guns, military na kingpins hii ndio ya kwako.

 
Road House [emoji91]

Chuma kinaachiwa March 8 this Year

Ndani Kuna mkali wa UFC Conor McGregor

Na mwamba Wa ambulance movie [emoji327] wakuitwa Jake Gyllenhaal

Humu ni Ngumi za kiume zinapigwa sio muchesoo

March 8 2024 hii ndo movie nayo isubiria Kwa hamu

Wapenzi wa fighting, action Tuweke kambi march 8

View attachment 2891365
 
Benicio Del Toro. Say no more ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…