Aisee sio kwa vichwa vya ng'ombe hivi

Aisee sio kwa vichwa vya ng'ombe hivi

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Baada ya Watanzania kutudanganya kwa miaka nyingi kwamba wao wamenunua bullet train kama zile Shikansen za Japan, sisi Wakenya tulinyamaza tu kwa sababu tulijua kwamba hamna pesa wala uwezo wa kununua treni yenye kichwa mchongo. Sasa tulieni msibiri vichwa vya ngombe vyenu viwasili
👇 👇 👇

1625992219120.png
 
Wenzenu wanatokwa na mapovu huku
 
Baada ya Watanzania kutudanganya kwa miaka nyingi kwamba wao wamenunua bullet train kama zile Shikansen za Japan, sisi Wakenya tulinyamaza tu kwa sababu tulijua kwamba hamna pesa wala uwezo wa kununua treni yenye kichwa mchongo. Sasa tulieni msibiri vichwa vya ngombe vyenu viwasili
👇 👇 👇

View attachment 1849426
Hebu weka vichwa vya Kenya tuone
 
Baada ya Watanzania kutudanganya kwa miaka nyingi kwamba wao wamenunua bullet train kama zile Shikansen za Japan, sisi Wakenya tulinyamaza tu kwa sababu tulijua kwamba hamna pesa wala uwezo wa kununua treni yenye kichwa mchongo. Sasa tulieni msibiri vichwa vya ngombe vyenu viwasili
👇 👇 👇

View attachment 1849426
So what?
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116]

View attachment 1849426
Tony tulia..uone..nani kasema hivyo ndo vinavyokuja..hio si picha ya gazeti..plua kumbuka hio ni locomotive sio EMU
 
kuna kitu huwa kinanichekesha sana..
watanzania wenyewe tunakandia vya kwetu na kuvitoa kasoro!!
lakini mkenya akitoa kasoro vitu vya tanzania tunamuijia juu km moto wa ges..

hii inanikumbusha wasomali..
wao kila siku wanapigana wao kwa wao lakini siku akitokea mvamizi kutoka nchi nyingine wao huungana na kumpiga.

wakishampiga mvamizi akakimbia waarudi kuanza kupasuana wao.
 
Tuweke mapicha ya vitu walivyoahidi humu...kuna yule Gwajima aliahidi ataleta zake pia

hqdefault.jpg

hqdefault.jpg

hqdefault.jpg

hqdefault.jpg
Uongo kama huu hapa unauma sana 👇 👇

1625995274245.png

Aliyewadanganya malazy kwamba wataletewa kichwa mchongo kama huu anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashtaka mara moja.
 
Wewe hii ndio kizungu pekee unayojua. Baada ya hayo maneno mawili utaanza kukula ulimi.
Kizungu ndio lugha gani?

Coz wazungu wapo wengi na wanatoka nchi mbalimbali na kila mmoja ana lugha yake,mfano Ujerumani wana lugha yao,hivyo hivyo na kwa nchi zingine kama Portugal,France,Italia na kwingineko.
 
Back
Top Bottom