Hebu weka vichwa vya Kenya tuoneBaada ya Watanzania kutudanganya kwa miaka nyingi kwamba wao wamenunua bullet train kama zile Shikansen za Japan, sisi Wakenya tulinyamaza tu kwa sababu tulijua kwamba hamna pesa wala uwezo wa kununua treni yenye kichwa mchongo. Sasa tulieni msibiri vichwa vya ngombe vyenu viwasili
π π π
View attachment 1849426
So what?Baada ya Watanzania kutudanganya kwa miaka nyingi kwamba wao wamenunua bullet train kama zile Shikansen za Japan, sisi Wakenya tulinyamaza tu kwa sababu tulijua kwamba hamna pesa wala uwezo wa kununua treni yenye kichwa mchongo. Sasa tulieni msibiri vichwa vya ngombe vyenu viwasili
π π π
View attachment 1849426
Tony tulia..uone..nani kasema hivyo ndo vinavyokuja..hio si picha ya gazeti..plua kumbuka hio ni locomotive sio EMUBaada ya Watanzania kutudanganya kwa miaka nyingi kwamba wao wamenunua bullet train kama zile Shikansen za Japan, sisi Wakenya tulinyamaza tu kwa sababu tulijua kwamba hamna pesa wala uwezo wa kununua treni yenye kichwa mchongo. Sasa tulieni msibiri vichwa vya ngombe vyenu viwasili
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
View attachment 1849426
Wewe ni mtumwa wa fikra, hadi leo mnatutia aibu Waafrika, maana juzijuzi mlimpokea Yesu, mkaenda kumpigia na magoti. Kisa tu Ni mzungu.Wewe hii ndio kizungu pekee unayojua. Baada ya hayo maneno mawili utaanza kukula ulimi.
Uongo kama huu hapa unauma sana π πTuweke mapicha ya vitu walivyoahidi humu...kuna yule Gwajima aliahidi ataleta zake pia
Kizungu ndio lugha gani?Wewe hii ndio kizungu pekee unayojua. Baada ya hayo maneno mawili utaanza kukula ulimi.
MY TAKE:Kizungu ndio lugha gani?
Coz wazungu wapo wengi na wanatoka nchi mbalimbali na kila mmoja ana lugha yake,mfano Ujerumani wana lugha yao,hivyo hivyo na kwa nchi zingine kama Portuga,France,Italia na kwingineko.