Aisee sio kwa vichwa vya ng'ombe hivi

Hata kama ni ya mizigo inabidi iwe presentable na iwe ina reflect value for money au hamna uchungu na hela za nchi?
Zenu za mizigo pia ni sura mbaya. Zina sura ya ng'ombe.
 
Ndiyo utaratibu gani huo wenzetu wakenya wametususa.
Yaani hata hili jukwaa lao hawalitaki.
🀣🀣🀣

Kwani hii double decker electric train si ya kwetu woteee!!? Hata nyie mtapanda. Hatutawanyima.
 
Ndiyo utaratibu gani huo wenzetu wakenya wametususa.
Yaani hata hili jukwaa lao hawalitaki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwani hii double decker electric train si ya kwetu woteee!!? Hata nyie mtapanda. Hatutawanyima.
Ni kweli maana ni east african double decker electric sgr train.
 
Hata kama ni ya mizigo inabidi iwe presentable na iwe ina reflect value for money au hamna uchungu na hela za nchi?
Value for money inatokana na efficiency ya treni, HP, tractive force ..etc. Marekani ndo inaongoza Dunia kwa kubeba mizigo mingi kupitia reli duniani... Vichwa vyao hua ndo ugliest kabisa lakini hivyo vichwa vyao ndo most powerful zaidi!
 
So you want to tell us, the strength of the train depends on how it looks like!!!?

What point do you want to make?
 
Lakini vina mwendo unaohitajika?Hayo mengine baki nayo.Hiyo treni siyo mchumba kwamba sura yake itaongeza idadi ya ng'ombe wa mahari.
 
So you want to tell us, the strength of the train depends on how it looks like!!!?

What point do you want to make?
Mbona unashindwa kuelewa vitu simple. I am saying that it doesn't matter how a train looks like, what matters is it's performance. And as for the case of passenger trains what matters is on the inside, sura ya nje ni kufurahisha watu tu kama wewe tu... Ni kama vile uniulize tofauti ya ndege kubwa ya Boeing na ya Airbus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…