Aisee.....wahaya wanaonewa....

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
Mchaga hata apate kazi bank, ukimuuliza atasema yupo kibaruani. Acha sasa Mhaya apate kazi katika mashine ya kusaga na kukoboa
utasikia "I work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company"
sijamtaja mtu..!
 
[emoji23] [emoji23] poa nimekusomaa!!
Sema nini,Wachagga huwa wana tabia ya kutorizika na walicho nacho wanataka zaidi na zaidi:
Kwa wahaya hata awee na gari tuu Kijiji chote kinajua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121]
 
Mhaya akinunua Range nchi mzima itajua, wakati wachaga wameshusha magorofa migombani huko lakin ukiwakuta Dar hawana habari busy na biashara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwel mkuu hawa wajamaa nimewaona sn hapa mjini...starehe yao kuu ni Bia na Kitimoto[emoji23]
 
Mchaga hata apate kazi bank, ukimuuliza atasema yupo kibaruani. Acha sasa Mhaya apate kazi katika mashine ya kusaga na kukoboa
utasikia "I work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company"
sijamtaja mtu..!
Mhaya gani ataongea Kiingereza uchwara hivyo? Crucial engineer ni nini? Umetunga wewe unawasingizia wahaya. Kabila lako je, MNA sifa gani au hata kulitaja unaona aibu?
 
[emoji23] [emoji23] poa nimekusomaa!!
Sema nini,Wachagga huwa wana tabia ya kutorizika na walicho nacho wanataka zaidi na zaidi:
Kwa wahaya hata awee na gari tuu Kijiji chote kinajua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121]
Sasa unaweza kuwa na gari kijijini halafu wanakijiji wadijue? Gari ni sindano, ebo?
 
Mhaya gani ataongea Kiingereza uchwara hivyo? Crucial engineer ni nini? Umetunga wewe unawasingizia wahaya. Kabila lako je, MNA sifa gani au hata kulitaja unaona aibu?
Mkuu mbona huu ni utani tu,ndio unalia kabisa?
 
Mh ila Wahaya kwa kujikweza hawajambo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…