[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli ama wanasingiziwa?Mh ila Wahaya kwa kujikweza hawajambo..
Tafuta rafiki wa kihaya hasa mwanaume ndio utajua hilo..[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli ama wanasingiziwa?
Bahati mbaya hapa nilipo wala kazini hawapoTafuta rafiki wa kihaya hasa mwanume ndio utajua hilo..
Ukisikiaa maweeeee! Ujue jiwe la gizani limempata mhusika .Mhaya gani ataongea Kiingereza uchwara hivyo? Crucial engineer ni nini? Umetunga wewe unawasingizia wahaya. Kabila lako je, MNA sifa gani au hata kulitaja unaona aibu?
La ngapi ndio nini?Umeishia la ngapi,Labda nije hv Unajua sehemu mpaka iitwe kijijini ni muanganiko wa (mitaa) vitongoji vingapi mkuu???
Mmh mkuu ulizia vizuri maana tumesambaa nchi nzima.Bahati mbaya hapa nilipo wala kazini hawapo