Aisee....wanaijeria washazua zengwe huko

sasa hivi huyo beautiful onyinye wa bongo utasikia anaitwa

celebrity

chezea shigongo wewe
 
Kesho utasikia kashapangishiwa nyumba, kahongwa gari
Then utasikia Diamond anamfukuzia.
Then utaskikia kafumaniwa na mume wa mtu.
Yaaani hizo ni series za shigongo za kupiga hela, akikubamba hakuachi mpaka akamue hela yakutosha..
 
tehtehteh.....mjini shule, kijijini kilimo

hahahahah mkuu umemaliza kabisaaaaaaa. Dah nimecheka sana!
 
Back
Top Bottom