Aisee....wanaijeria washazua zengwe huko

sasa hivi huyo beautiful onyinye wa bongo utasikia anaitwa

celebrity

chezea shigongo wewe
 
Kesho utasikia kashapangishiwa nyumba, kahongwa gari
Then utasikia Diamond anamfukuzia.
Then utaskikia kafumaniwa na mume wa mtu.
Yaaani hizo ni series za shigongo za kupiga hela, akikubamba hakuachi mpaka akamue hela yakutosha..
 
tehtehteh.....mjini shule, kijijini kilimo

hahahahah mkuu umemaliza kabisaaaaaaa. Dah nimecheka sana!
 
heheheee, shigongo ni undisputed kwenye nyanja za udaku. he can do anything for the sake of money.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…