Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
"Hivi karibuni nimeumwa nusu nife, nimemshuhudia Mungu kwa macho yangu akinirejeshea uhai, hili ni funzo hata kupona kwangu bado nashangaa sijui imekuwaje. Kuanzia leo nafuta kila kitu kibaya kwangu nakuwa mpya, namrudia Mungu, mimi sio mshiriki wa mapenzi ya jinsia moja tena, nampenda Mungu na nitamtumikia siku zote za uhai wangu"- Agrey
Wengine wanaishi je?Shida ni atakula wapi??
Eti atakula wapi!?Shida ni atakula wapi??
Huko kwenu kula mpaka mliwe.Shida ni atakula wapi??
Keshakua nabii,atafungua kanisa lake ale sadaka.Shida ni atakula wapi??
Halafu unajua kuwa huyu ni mwanachama wa CCM?"Hivi karibuni nimeumwa nusu nife, nimemshuhudia Mungu kwa macho yangu akinirejeshea uhai, hili ni funzo hata kupona kwangu bado nashangaa sijui imekuwaje. Kuanzia leo nafuta kila kitu kibaya kwangu nakuwa mpya, namrudia Mungu, mimi sio mshiriki wa mapenzi ya jinsia moja tena, nampenda Mungu na nitamtumikia siku zote za uhai wangu"- Agrey
Kwenye sahani au bakuliEti atakula wapi!?