Ungeanza kwanza kuwa na wasiwasi wa wewe kupotea. Hakuna atakayeishi milele hata awe na afya nzuri kiasi gani. Aisha nakuombea upone upesi.
Inasemekana Aisha Madinda Mbegu ameanza kusumbuliwa tena na ule ungonjwa wa kuvimba mwili (miguu). Je huu ni ungonjwa wa aina gani.... maana kuna kipindi aliwahi kusema ameshapima NGOMA na yupo safiii. Sasa ni nini hasa kinamsumbua.
Kwa sisi wapenzi wa muziki wa dansi tunawasiwasi wa kumpoteza mnenguaji maarufu huyu kama tulivyo mpoteza Mrs Nyoshi.
Ungeanza kwanza kuwa na wasiwasi wa wewe kupotea. Hakuna atakayeishi milele hata awe na afya nzuri kiasi gani. Aisha nakuombea upone upesi.
Mama bwana! nimecheka kweli maana humkawizi mtu mwenye dalili dalili za udaku!
Inasemekana Aisha Madinda Mbegu ameanza kusumbuliwa tena na ule ungonjwa wa kuvimba mwili (miguu). Je huu ni ungonjwa wa aina gani.... maana kuna kipindi aliwahi kusema ameshapima NGOMA na yupo safiii. Sasa ni nini hasa kinamsumbua.
Kwa sisi wapenzi wa muziki wa dansi tunawasiwasi wa kumpoteza mnenguaji maarufu huyu kama tulivyo mpoteza Mrs Nyoshi.
Kwani udaku sio habari?????? mbona wewe umeisoma. Acha hizo.
Tatizo la udaku wako wewe unataka kujifanya Sheikh Yahya Yaani kutabiria watu watakufa kama mtu fulani, na hata ku-speculate magonjwa yanayo wasumbua watu wakati wewe hujafanya vipimo vya kisayansi. Na huo ndiyo Udaku ninaozungumzia mimi. Yaani ni habari za kufinyangafinyanga au tunaita "Gotcha".
Original post by WomanofSubstanc:
Mama bwana! nimecheka kweli maana humkawizi mtu mwenye dalili dalili za udaku!
Original post by Domo Kaya:
Kwa sisi wapenzi wa muziki wa dansi tunawasiwasi wa kumpoteza mnenguaji maarufu huyu kama tulivyo mpoteza Mrs Nyoshi
My take:
Huu ndiyo U Sheikh Yahya niliyousema wewe unawasiwasi wa kumpoteza kama Mrs Nyoshi, we unajuaje kama ni wewe au Aisha ndiyo atapotezwa, Wewe una bima au mkataba wa kuishi milele?, je wewe una uhakika 100% uko fit?. Hapo wewe ulilopaswa kusema ni kumuombea Aisha mungu amsaidie apone na siyo kwenda kwenye kuspeculate kifo kama mtabiri wa nyota.
Huyu nae amekuita wewe mdaku hukumjibu au yeye kasema ukweli? pia?Original post by Kandambilimbili:
WEWE kweli mdaku, kwani bila ngoma hakuna ugonjwa mwingine? sasa sijui unatakiwauambiwe ni ugonjwa gani na humu sijui kama kuna mtu kampima.
Wewe ndiyo imekuuma sana Domo Kaya kwani umeipotosha mada yako mwenyewe. Unatakiwa kutambua kuwa mimi sina uhusiano wowote na Aisha, Ila kama binadamu mwenye upendo siwezi ku-speculate kifo cha mtu, ninachofanya ni kumuombea kila mwanadamu mwenzangu maisha marefu na uzima kwani kama ni kifo sisi wote tupo kwenye foleni na kila mtu ataondoka kwa wakati muafaka aliopangiwa na mwenyezi munguOriginal post by Domo Kaya:
Wapi ambapo nilisema mimi ni Sheikh Yahaya,
Hii ni kwa kujifanya wewe mtabiri sana na ku-speculate the worse to come for others
wewe ndio MDAKU mimi nimeuliza vingine na wewe kujidai unajua kusema umeshaanza ooh udaku, udaku nao habari. Mbona wewe imekuuma sana!!!!!! Delete mada basi ili usiumie sana.
Alishatangaza kuacha kunengua na sasa ni mjasiriamali.pole Aisha mungu atakusaidia tu.Pole zake,last tym namwona jukwaa alikua amenenepa sana
YNIM si ulikariri li PCB lote ni nini causes ya kuvimba miguu?
Kwani wewe umewahi kuishi Dar?Ila Aisha bonge la totoz jamani.....
Kwani wewe umewahi kuishi Dar?
Sumbawanga...Wewe unadhani nimewahi kuishi wapi?