Aisha madinda anaumwa nini?

Aisha kama unasoma hapa tubu na umrudie MUNGU wako yeye peke yake ndo mponyaji!atakurudishia afya yako haijalishi unaumwa ugonjwa gani!
 

Thankx kwa ushauri wako mkuu, leo nitapita pale amref nikacheck afya yangu ila na wewe karibu. si unajua kilio cha wengi......................
 
Kuvimba sana sana ni kwa sababu mtu anaretain maji mwilini...and ku retain maji ni kwa sabau ya HBP... Oedema haswa kwenye miguu.

Kwani sio maradhi ya kushangaza!!! Akapime HBP halafu na sukari (diabetes)

Pia inaweza kusababishwa na FIGO kushindwa kufanya kazi ipasavyo.
 
namuombea afya. asisahau kumuomba mola wake amponye kwani
mola ni zaidi ya daktari. asikate tamaa akumbuke siku zote kwamba
dawa si chumvi (kwa sababu chumvi hukolea mara moja lakini dawa!
wakati mwengine huchukua muda mrefu kufanya kazi)
 
Shukrani mkuu hizo ndio nondo nilizokuwa nazisubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…