warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mnenguaji big name bongo aisha madinda,amefunguka kuwa banza stone ndiye aliyemfundisha kuvuta bangi." Niiliingizwa na banza stone kwani tulikuwa tunamuomba bangi ya kawaida kumbe alikuwa anatuchanganyia na madawa ya kulevya,mwisho tukajikuta tumekuwa mateja na tulikuwa wasichana kama watatu,jameni acheni unga ulinitesa". Alisema madinda.