Mnenguaji big name bongo aisha madinda,amefunguka kuwa banza stone ndiye aliyemfundisha kuvuta bangi." Niiliingizwa na banza stone kwani tulikuwa tunamuomba bangi ya kawaida kumbe alikuwa anatuchanganyia na madawa ya kulevya,mwisho tukajikuta tumekuwa mateja na tulikuwa wasichana kama watatu,jameni acheni unga ulinitesa". Alisema madinda.
She is innocent,alikuw hajui kama ni madaw,alijua bangi tu ila banza ndo alikuw anamchanganyia na madawa,nyie banzi sio mtu mzuri kabisa,wewe aisha hauna hat hatia mtoto wa watu
She is innocent,alikuw hajui kama ni madaw,alijua bangi tu ila banza ndo alikuw anamchanganyia na madawa,nyie banzi sio mtu mzuri kabisa,wewe aisha hauna hat hatia mtoto wa watu