Aisha Madinda tena...


Mlalahoi,

Mpenzi wa Yanga hata huku upo? Sasa nani huyo anasema Mkanda unasikia sauti yake? Mbona mie nilipokuwa German, niliona Cinema ambayo Eddy Murphy anaongea Kigeruman? na anacheka kwa Kijruman pia. Hii imekaaje?

Anyway, nakubaliana na wewe kuwa kama kuna watu wanampenda na wako naye karibu, ni vizuri wakaanza kumpa somo. Dada mzuri na anakipaji cha kucheza na kupendwa, angelitulia na kujiendeleza kwenye mambo mengine, nisingelishangaa kumuona kwenye Luninga akiwa na Kanumba. Kujifanya kawa nyoka na kuwa mla Unga, nafikiri hataenda mbali na magonjwa ya moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…