Haruna Mapunda
Member
- Sep 10, 2017
- 7
- 18
MTUNZI :- HARUNA MAPUNDA
Aisha alitoka bafuni huku akijitikisa kwa baridi. Akifuta nywele zake kwa taulo. Huku akitikisa makalio kuelekea chumbani. Alifika ndani na kujitupa kitandani. Alijivuta taratibu na kuchukua simu iliyopo karibu na ubao wa kitanda.
“mmh nitamjibu nani sasa?” alijiuliza Aisha baada ya kufungua simu yake. Haikuchukua muda simu ikaita lakini hakupokea.
Aliinuka na kuendelea kujifuta maji. Akajipura vipodozi vyake kwa muda mfupi tu. Akachukua simu na kujiselfisha.
Kisha akatupia instagram. Watu wengi walimfahamu Aisha kupitia mitandao ya kijamii mitandao ambayo Aisha alikuwa anafanya biashara zake. Biashara ambazo kila mwanaume alivutiwa na maumbile ya Aisha.
Aisha haikuchukua muda alitoka kuelekea katika mishe zake.
“sister sister dada vipi” mvulana mtanashati aliyependeza kwa mavazi yake. Aliyevutia kwa sura yake kuwa nzuri yenye mng’ao kwa kila mmoja.
Aisha aligeuka na kumtazama. Akapiga atua tatu kisha akasimama na kumsubiri Yule aliyemuita kwa muda huo. Yule mvulana alisogea taratibu mpaka kwa Aisha.
“samahani dada.. mambo”
“poa” Aisha alijibu
“samahani mi naitwa Juma sijui mwenzangu unaitwa nani?”
“Aisha” huku akilembua na kujidai kwa malingo.
Juma aliishiwa na pozi huku akiangalia jinsi ya kumuanza Aisha.
Tutaendelea wadau tupo na Aisha Mcharuko kwa kuona sapoti yenu ya ufuatiliaji wa stori hii.
Usikose sehemu ya pili.
BY HARUNA MAPUNDA