Aisha vs Zuchu nani juu?

Aisha vs Zuchu nani juu?

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Habari za leo wakuu,

Leo nimekuja na song la my best friend anaitwa Aisha, song linaitwa stay.

Kila nikiingia youtube naona viewers wanaongezeka kwa kasi mnoo. Hii inatangaza hali hatari kwa ZUCHU.

Nataka tumlinganishe na Zuchu kupitia hili song. Nani yupo juu ya mwenzake.

Pengine Aisha anaweza akauchukua umalkia wa Muziki bongo sio muda mrefu.

Habari za leo wakuu
Leo nimekuja na song la my best friend anaitwa Aisha, song linaitwa stay.
Nataka tumlinganishe na Zuchu kupitia hili song.
Nani yupo juu ya mwenzake.

Acha kulinganisha wasanii kila mmoja anacho kile alichonacho so ni juhudi zako kukitumia ulichonacho.. ngumu kwangu kulinganisha wasanii maana huwa naamini kila sauti ya msanii Ni Kama nyuzi moja ya gitaa! Na kila moja inasauti yake na utamu wake..

Kwa hiyo kazi ya sweet reggae kaimba vizuri ajitahidi zaidi wachache bongo yetu wanaelewa mziki wa taratibu wanataka michangamsho..😂
Siwezi mlinganisha na zuchu na ni kosa kufanya hivyo kwangu mziki ukiwa mzuri umepita huo.
 
Huyu Bi Aisha nadhani hajapata tu njia sahihi/nguvu ya kutosha ya kumtoa. Vinginevyo yuko vizuri sana. Nilimwelewa sana kwenye kamanda. Sidhani kama kwa nguvu za Nuhu Mziwanda anaweza kutoboa.
 
Nikiona mtu kaweka nguvu zake nyingi kwenye muziki na mpira naoana anapoteza mudala tu. Hata hao masupa star wanapata umaarufu tu
 
Habari za leo wakuu,

Leo nimekuja na song la my best friend anaitwa Aisha, song linaitwa stay.

Kila nikiingia youtube naona viewers wanaongezeka kwa kasi mnoo. Hii inatangaza hali hatari kwa ZUCHU.

Nataka tumlinganishe na Zuchu kupitia hili song. Nani yupo juu ya mwenzake.

Pengine Aisha anaweza akauchukua umalkia wa Muziki bongo sio muda mrefu.

unajitahid kumpa promo msanii wako.

Ngoma yake nzuri sana, sauti yake ipo calm, pronunciation nzuri, muandishi pia kafanya vizuri.
ila kwa sababu ndo anaanza ajitahid tu kwenda sawa na soko.
 
Back
Top Bottom