EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Okay, goodNitarudi kuhesabu
Acha kulinganisha wasanii kila mmoja anacho kile alichonacho so ni juhudi zako kukitumia ulichonacho.. ngumu kwangu kulinganisha wasanii maana huwa naamini kila sauti ya msanii Ni Kama nyuzi moja ya gitaa! Na kila moja inasauti yake na utamu wake..Habari za leo wakuu
Leo nimekuja na song la my best friend anaitwa Aisha, song linaitwa stay.
Nataka tumlinganishe na Zuchu kupitia hili song.
Nani yupo juu ya mwenzake.
unajitahid kumpa promo msanii wako.Habari za leo wakuu,
Leo nimekuja na song la my best friend anaitwa Aisha, song linaitwa stay.
Kila nikiingia youtube naona viewers wanaongezeka kwa kasi mnoo. Hii inatangaza hali hatari kwa ZUCHU.
Nataka tumlinganishe na Zuchu kupitia hili song. Nani yupo juu ya mwenzake.
Pengine Aisha anaweza akauchukua umalkia wa Muziki bongo sio muda mrefu.