Aishi Manula “Air Manula” ni tunu ya Taifa kwenye soka

Aishi Manula “Air Manula” ni tunu ya Taifa kwenye soka

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Ameshavuka kiwanga cha Tanzania One, sasa ni Afrika One. Bahati nzuri CAF inatambua kazi zake.

Hiyo ni moja ya save matata sana, ambayo mimi na wenzangu tulishashika vichwa
 
Ngoja waje wale wa upande wa " mdaka mishale" na takwimu zao
 
Uwezi ukawa tunu ya Taifa wakati ukiambiwa Leo Mayele atacheza unajifanya mgonjwa. Ni Bora mtangazi Tunu Hassan Shenkome namuelewa kama Tunu ya Taifa.
Ananifanya anaharisha kabisa.
 

Ameshavuka kiwanga cha Tanzania One,sasa ni Afrika One. Bahati nzuri CAF inatambua kazi zake.

Hiyo ni moja ya save matata sana,ambayo mimi na wenzangu tulishashika vichwa
Akili matope hizi
Uganda alidunguliwa 3
Tz alidunguliwa kimoko

Kwa Mayele alidunguliwa 2
Kmc 2

Bado ni tunu ya taifa ....kenge mwekundu wewe
 
Ndio maana viongozi wenu wa afrika wakienda nchi za watu wanaswekwa kwenye basi la pamoja
 
Feiiiiii Feiii Toto njoo useme ukweli huku..
 
Back
Top Bottom