Aishi Manula aongoza kwa ubora wa magolikipa CHAN hadi sasa (Round 3)

Aishi Manula aongoza kwa ubora wa magolikipa CHAN hadi sasa (Round 3)

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Kwa mujibu wa mtandao wa michezo wa Sofascore, golikipa mahiri wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Simba, Aishi Manula, hadi sasa ndiye mwenye rating kubwa kuliko magolikipa wote walio na timu zinazoshiriki michuano ya CHAN huko Cameroon. Hii ni hadi round ya tatu inapokamilika hapo jana.

1611837919045.png

Source: African Nations Championship live score, fixtures and results - SofaScore

cc: Masterplaner, Bujibuji, mjingamimi, Jamaa_Mbishi
 

Attachments

  • 1611837484632.png
    1611837484632.png
    24.3 KB · Views: 3
Hata AFCON mechi mbili za makundi alikuwa na saves nyingi kuliko. Tafsiri ya saves nyingi huenda ikawa ubora wa golikipa au udhaifu wa safu ya ulinzi kuruhusu lango lao kusogelewa maradufu au yote kwa pamoja.
 
Mdaka mishale wa Uto akishika nafasi ya 8
 
Back
Top Bottom