Aishi Manula apata meneja mpya

Aishi Manula apata meneja mpya

Rosh Hashannah

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
3,415
Reaction score
2,043
Manager mpya wa Aishi Manula mchambuzi mahiri Maestro Ibrahim

Aisha Manula kaacha na manager wake wa zamani Jemedari Said.

Huwezi ukawa meneja na unagombana na matajiri kila siku, Jemedari aweke weledi mbele kuliko hisia
IMG_20220617_091555.jpg
 
Manager mpya wa Aishi Manula mchambuzi mahiri Maestro Ibrahim

Aisha Manula kaacha na manager wake wa zamani Jemedari Said.

Huwezi ukawa meneja na unagombana na matajiri kila siku, Jemedari aweke weledi mbele kuliko hisia
View attachment 2263416
Wote wawili ni wajanja wajanja tu wa mjini. Hamna manager hapo.

Hao ni mameneja wa Bongo fleva na matamasha yao ya Fiesta.
 
Mameneja wa kibongo wanapungukiwa nini kuwatafutia wachezaji wao kazi nzuri zaidi nje ya nchi yetu,au malengo ya wachezaji wazawa ni wa hapahapa bongo tu?
 
ukitoka nje wewe inatosha. wao hawajakwambia wanataka kutoka nje...
Halafu nyinyi haohao mnakuja kusema Msuva anatakiwa atafute team nje na sio kurudi hapa, okay ni sawa huko nje nitatoka na () yako.
 
Mameneja wa kibongo wanapungukiwa nini kuwatafutia wachezaji wao kazi nzuri zaidi nje ya nchi yetu,au malengo ya wachezaji wazawa ni wa hapahapa bongo tu?
Kuna bottom mmoja Komeo Lachuma yeye anasema mnaotaka wachezaji watoke nje mtoke nyinyi.

Sijui anafikiria nini tu.
 
Halafu nyinyi haohao mnakuja kusema Msuva anatakiwa atafute team nje na sio kurudi hapa, okay ni sawa huko nje nitatoka na () yako.
Nyie wadada mkishapelekwa Dubai kudanganywa danganywa basi inakuwa nongwa mjini. Yaani kidogo tu mnataka ku refer Dubai...ni shida sana.
 
Back
Top Bottom