Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Toka wewe nje badala yaoUnaacha meneja wa kibongo unakimbulia meneja wa kibongo, ndiomaana imekuwa ngumu sana kwa wachezaji wetu kutoka nje.
Sijawahi kuona sehemu yoyote ile uliyojadili bila kuingiza huu ujinga wako, hivyo nakupuuza.Toka wewe nje badala yao
ukitoka nje wewe inatosha. wao hawajakwambia wanataka kutoka nje...Unaacha meneja wa kibongo unakimbulia meneja wa kibongo, ndiomaana imekuwa ngumu sana kwa wachezaji wetu kutoka nje.
Wote wawili ni wajanja wajanja tu wa mjini. Hamna manager hapo.Manager mpya wa Aishi Manula mchambuzi mahiri Maestro Ibrahim
Aisha Manula kaacha na manager wake wa zamani Jemedari Said.
Huwezi ukawa meneja na unagombana na matajiri kila siku, Jemedari aweke weledi mbele kuliko hisia
View attachment 2263416
Aisee.Manager mpya wa Aishi Manula mchambuzi mahiri Maestro Ibrahim
Aisha Manula kaacha na manager wake wa zamani Jemedari Said.
Huwezi ukawa meneja na unagombana na matajiri kila siku, Jemedari aweke weledi mbele kuliko hisia
View attachment 2263416
Halafu nyinyi haohao mnakuja kusema Msuva anatakiwa atafute team nje na sio kurudi hapa, okay ni sawa huko nje nitatoka na () yako.ukitoka nje wewe inatosha. wao hawajakwambia wanataka kutoka nje...
Kuna bottom mmoja Komeo Lachuma yeye anasema mnaotaka wachezaji watoke nje mtoke nyinyi.Mameneja wa kibongo wanapungukiwa nini kuwatafutia wachezaji wao kazi nzuri zaidi nje ya nchi yetu,au malengo ya wachezaji wazawa ni wa hapahapa bongo tu?
Pole sana Jemedari!Unaacha meneja wa kibongo unakimbulia meneja wa kibongo, ndiomaana imekuwa ngumu sana kwa wachezaji wetu kutoka nje.
Sawa mke wangu.Pole sana Jemedari!
Nyie wadada mkishapelekwa Dubai kudanganywa danganywa basi inakuwa nongwa mjini. Yaani kidogo tu mnataka ku refer Dubai...ni shida sana.Halafu nyinyi haohao mnakuja kusema Msuva anatakiwa atafute team nje na sio kurudi hapa, okay ni sawa huko nje nitatoka na () yako.
ngumu mnoUnaacha meneja wa kibongo unakimbulia meneja wa kibongo, ndiomaana imekuwa ngumu sana kwa wachezaji wetu kutoka nje.