Amesikiliza ushauri wa Haji kwamba watu toka Lindi hawajui Kiingereza.
Manula Mkataba wake unakaribia kuisha ndio maana kahamia kwa huyu ili Muhindi asimzulumu haki yake kwenye Maslahi ya mkataba mpya.
Ila mameneja wote hao wana vinasaba vya u-Simba na huyo ni Simba mwenzao.