Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Ukome kutuchanganyia kichina na kiswahili...ceteris peribus ili mtu uishi vizuri na mtu inabidi uishi nae vile anapenda yeye. Mtoa mada anataka kuishi vizuri na mtu wake.
Ukome kutuchanganyia kichina na kiswahili...
Ukome kutuchanganyia kichina na kiswahili...
Hahaha... Ngoja ntafute tuition wanayofundisha kigogo.bado niongee kigogo. Lazma uhame jf mwaka huu.
bado niongee kigogo. Lazma uhame jf mwaka huu.
Waarabu wa pemba yakhe..wala sijaenda popote nipo hapahapa!unakoenda siko
nafuu ungeuliza maana yake nini
Hahaha... Ngoja ntafute tuition wanayofundisha kigogo.
Waarabu wa pemba yakhe..wala sijaenda popote nipo hapahapa!