Wajameni kuna kitu cha ajabu kinachoendelea open university of tanzania, wakati graduation ni kesho, mpaka sasa hawajatoa majina ya postgraduate graduands kwenye website yao, kama walivyoahidi kuwa watatoa mapema. Majina waliyotoa ni ya undergraduate na non degree tu. Hii ni ajbu kwa chuo kikuu!!
Wafuatao wamesoma Open university
1.Anne Kilango Malecela
2.Philipo Mulugo
3.Shamshi vuai Nahodha
4.Silyvester Mabumba
5.Kuna jaji anasoma first degree ya sheria
Asante kwa taarifa. Mbona mada yakop haiendani na primary post content
Lakini nayo ni habari thanks!
sometimes sio lazima utoe coments! unaweza kutoa taarifa kwa wana JF ili wajionee product ya Open university! hata bungeni inaruhusiwa kutoa taarifa.
:flock:TUNAYASUBIRI KWA HAMU KUBWA, SIJUI NINI KIMEYAZUIA. UKIWEZA WASILIANA NAO WATUTANGAZIE KINACHOENDELEA. AHSANTE.
Wafuatao wamesoma Open university
1.Anne Kilango Malecela
2.Philipo Mulugo
3.Shamshi vuai Nahodha
4.Silyvester Mabumba
5.Kuna jaji anasoma first degree ya sheria
hapo wewe unataka kusema nini wakati mtoa mada kasema ni OPEN UNIVERSITY OF TZ!!! au kusoma ni tatizo tena....Open University, is it a university?
Upo anonymous bado unaogopa kutaja jina eti "Kuna jaji anasoma first degree ya sheria" halafu unalaumu kikwete hataji wala rushwa. Chezea uhai wewe? ndo ujue kutaja majina ya wala deals ni noma. Acha woga, lete jina akishika kesi zetu tujue ni kilaza tusiajiri mawakili, tujitetee wenyewe.Wafuatao wamesoma Open university
1.Anne Kilango Malecela
2.Philipo Mulugo
3.Shamshi vuai Nahodha
4.Silyvester Mabumba
5.Kuna jaji anasoma first degree ya sheria
Tena Jaji wa mahakama ya RUFAA!Hee! Nchi hii ina maajabu. Huyo namba 5 amekuaje jaji bila kusoma sheria? Ana diploma au cheti cha sheria? Tutajie jina lake, na kama una c.v yake iliyotumika kumpa huo ujaji